FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Kumbukeni SIMBA nae alifungwa juzi juzi tu hapo goli dk za zaidi ya zile alizoongeza REFA.. acheni unafki.
 
Uchungu Wanapata Utopolo.... Goli kafungwa Singida.....!

Ukisikia Maajabu ya Mpira ndo haya..!

Mijitu ilivyokuwa inapoteza Muda ,ilikuwa inategemea nini?
 
Refa alijua nyongeza dakika 8
[emoji3][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom