FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Mkuu tuwe tu wakweli hivi ukiangalia ulichoandika hapo unakuwa umejibu swali langu?

Ngoja nitaitafuta clip ya marejeo kutoka Azam maana mlioangalia mmeshindwa kuelezea tukio
Scars unajua unachofanya, kaka hili ni soka letu tuache wenyewe.
 
Yule mwamuzi wa CAFCL alipoacha Simba Sc ifungwe na Wydad kwenye dakika ambazo ni zaidi ya zile alizoongeza alikuwa sahihi, ila huyu kwakua anatoka kwa wala urojo ndio alaumiwe?
Mchezo umekwisha lakini makosa ya mwamuzi yamewacost Singida FG, Goli la Simba limepatikana dakika ya 98 wakati ziliongezwa dakika 6, 90+6=96.
 
Mapinduzi Cup wasipofikiria kutumia marefa wa nje, basi mashindano hayo yatakufa. Mwaka huu timu zote mbili zilizoingia fainali zimebebwa na marefa tu; kwa uhakika fainali halisi ilitakiwa kuwa baina ya APR na Singida
Naunga mkono hoja
 
Mchezo umekwisha lakini makosa ya mwamuzi yamewacost Singida FG, Goli la Simba limepatikana dakika ya 98 wakati ziliongezwa dakika 6, 90+6=96.
Dakika 2 ni nyingi sana ilitakiwa angalau sekunde hata 10..labda alipata maelekezo.
 
Kaeni muamue Simba mnyama imebebwa na kagere au dk 2 za refa zilizozidi kwenye zile 6 za nyongeza. Kila chura akikoroma mlio wake mtaelewana kweli?
 
96 paka 98 😂🤣😁😁
GBtzn2SbEAAGPtL.jpeg
ingia kati mkuu🤣🤣
 
Mapinduzi Cup wasipofikiria kutumia marefa wa nje, basi mashindano hayo yatakufa. Mwaka huu timu zote mbili zilizoingia fainali zimebebwa na marefa tu; kwa uhakika fainali halisi ilitakiwa kuwa baina ya APR na Singida
Ppole kwa maumivu mkuu, kunywa maji ya baridi kdgo ulale.
 
Bhasi sawa nimejua shida iko wapi 🤣🤣🤣
yaani ufananishe matukio mawili simba tayari alisha poteza singida angeongeza hawezi lalamika maana tayari kasha lala yooooh

ila singida kufungwa lazima alalamike maana tayari anaongoza anakuja pokonywa ushindi hapo n tofauti mkuu
 
Back
Top Bottom