Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Singida walipoteza sana mda mwingine,wakaadhibiwa na huo huo mda, nye kinachowauma ni kupanda boti ya kwanzaOyaa marefa wa Mapinduzi ni matapeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Singida walipoteza sana mda mwingine,wakaadhibiwa na huo huo mda, nye kinachowauma ni kupanda boti ya kwanzaOyaa marefa wa Mapinduzi ni matapeli
Ile penati ya Kagere ingeingia ingekuwa bonge la penati, alipiga kwa kujiamini sanaMnatuchanganya nyie Uto....
Ebu mmoja wenu aseme.....ni nini shida?
Kagere Kauzaaa? Au Dk zilizidi ? Au Kona ndo Shida.
Kama shida ni Kagere... basi akaulizwe nini Kilimsibu.
Kama shida ni Dk.... Zile Dk zilikuwa wazi kwa timu zote. SFG hawakupigwa marufuku kufunga Dk za nyongeza.
Kama Kona ndo shida... golikipa alitakiwa auache mpira Utoke wenyewe. Sasa kaudaka ukamshinda Katoka nao..!
Refa aachwe kbs...!
Afu Watu wanajisahaulisha umahiri Wa Ally Salim Katoro...
Na msemaji wa Yanga, Ally Kamwe, akamtaka kocha huyo aombe radhi hadharani kwa kauli aliyotoa maana mashindano haya ni makubwa na yenye hadhi. Tumsikilize nani, wewe au Ally Kamwe? 🤣🤣🤣Kocha wa Apr alishasema haya mashindano ni ya kipuuzi na hawawezi kuja tena
Saido alipopiga ile cross beki aliweka mguu na kugusa mpira kidogo,tatizo unaumia kwasababu tawi lenu limefungwaTatizo la hii mechi si dk kwakua dk zimeongezwa kwa timu zote mbili yoyote angeweza kufungwa.
Shida ni refa kulazimisha Kona ambayo haikuwepo kwakua Saidoo ndiye aliye utoa nje.
Mi nafikiri kama yupo muandaaji atumie hii Fursa kwa kuwashawishi APR na Singida wacheze mechi pale Chamazi kwakua hii ndio Ilitakiwa iwe fainali kama marefa wasinge fanya upuuzi.
Naamimi iyo mechi itaujaza uwanja wa Chamazi.
Mkuu we hujaona wale Jamaa wa Singida waliounawa mpira tena ndani ya box kabisa?!Mchezo umekwisha lakini makosa ya mwamuzi yamewacost Singida FG, Goli la Simba limepatikana dakika ya 98 wakati ziliongezwa dakika 6, 90+6=96.
Sawa ila ukweli unaujua.Ukweli umeumia wewe ukisubiri boti ya asubuhi ujifiche kwenye logistic za simba
Shushia diazepum ulale
Msikilize bwana Ako Ali KAMWE, mi situmiagi hizoNa msemaji wa Yanga, Ally Kamwe, akamtaka kocha huyo aombe radhi hadharani kwa kauli aliyotoa maana mashindano haya ni makubwa na yenye hadhi. Tumsikilize nani, wewe au Ally Kamwe? 🤣🤣🤣
Tangu lini uto lia lia Laban og akawa kolo?Kocha wa APR .... alikuwa sahihi [emoji23][emoji23]
Makolo tumebebwa
Ndugu, makosa ni makosa tu, mchezo wa mpira wa miguu ni mchezo wa makosa, pili usilazimishe kosa alilofanya mwamuzi lisiwe kosa wakati linakwenda kuicost timu moja. Ndio maana hata ukichezewa rafu ni kosa lakini kwa vile refa hakuona endapo ukirudisha ni kosa na refa akiona utapata adhabu. 👍🏾Yule mwamuzi wa CAFCL alipoacha Simba Sc ifungwe na Wydad kwenye dakika ambazo ni zaidi ya zile alizoongeza alikuwa sahihi, ila huyu kwakua anatoka kwa wala urojo ndio alaumiwe?
Nipo hapa nakula mchuzi wa pweza.Mechi imeshaisha ukafanye shughuli nyingine
Hongereni kwa kwenda faunali.....il ukweli mioyoni mwenu mnaujua.Tofauti na Simba Sc kwenda fainali, kuna ukweli gani mwingine?
Yawezekana!Dakika 2 ni nyingi sana ilitakiwa angalau sekunde hata 10..labda alipata maelekezo.
Tujikumbushe...TUJIKUMBUSHE
Updates
Kolo 0 .......1 singida el de wananchi
Slogan ... hatumtaki benchika na mangungu
Simba [emoji250] [emoji250] [emoji250]. Guvu moya
Walinawa mara mbiliMkuu we hujaona wale Jamaa wa Singida waliounawa mpira tena ndani ya box kabisa?!
Ulikuwa busy tu kuangalia muda ambao kwa sehemu kubwa ulikuwa unapotezwa na Wachezaji wa Singida FG?