FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

baba aura

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2023
Posts
254
Reaction score
393

Leo kutakuwa na Sportpesa derby baini ya Singida vs Yanga FC mnamo saa 10:00 jioni CCM Kirumba.

Ni mechi Kali ya kusaka pointi muhimu tena kwa Yanga na mwenyeji Singida.

Kikosi cha kwanza cha yanga kinachoanza
 
Mechi tano kwenye NBC PREMIER league za mwisho Singida fountain gate ameshinda game moja Tu dhidi ya Namungo Zingine zote Kala vichapo...

Head to head dhidi ya Yanga, singida haijawahi kushinda game yoyote ile...

Wamekutana mara tatu na zote singida kapigwa kama mbwa koko... Leo wataweza kujitetea mbele ya Yanga ambayo ipo kwenye kilele cha ubora? Tusubiri saa kumi CCM Kirumba Stadium...

Utabiri wangu

Singida fountain gate 0 Yanga 3
 
Siku nyingine tena ya Ubuntu Botho wa Kariakoo kupata taabu.
 
Back
Top Bottom