FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

Tunahitaji kushinda ili ku cement Hilo gape hapo juu liwe clear 6 points tukiwapiga na wao iwe clear 9 points wakikutana na Azam walikipigwa tuweke 12 points tunatangaza ubingwa mapema sana na kupandisha under 21 wapate uzoefu first team iende pre season kabisa
 
Abunuwasi anaota
 
Hao wote wazee, engineer cocastic ni mrembo saana. Yaan nashangaa karembo Kadogo Kama wewe kuwa yanga
aa4606100f5fdc1009b62379c6696e9a.png
 
Back
Top Bottom