sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Kweli Jirani. Huko yanga beautiful women mpo wawili tuu. Wengine wote wapo simba.Eti beautiful girls. Lol.
Jirani are you serious? 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Jirani. Huko yanga beautiful women mpo wawili tuu. Wengine wote wapo simba.Eti beautiful girls. Lol.
Jirani are you serious? 🤣🤣
😂😂😂😂😂Haisaidii hii jirani.
Ndotoo hiiWale wazee was kucheza sex football aka PlayStation wamerudi tena Leo.
Yanga 4
Singida 0
Hahahaaa! LolKweli Jirani. Huko yanga beautiful women mpo wawili tuu. Wengine wote wapo simba.
Hivi Ndugu yangu unajua maana ya derby?
Leo kutakuwa na Sportpesa derby baini ya Singida vs Yanga FC mnamo saa 10:00 jioni CCM Kirumba.
Ni mechi Kali ya kusaka pointi muhimu tena kwa Yanga na mwenyeji Singida.
😂😂😂😂😂😂Aiseee usinisemee babe wangu wa mchongo bwanaa.Yanga hamna Warembo!? Mimi umeshawahi kuniona?
Hapa jf warembo wote ni Yanga Mahondaw, Lamomy Shadeeya
Halafu mashabiki wa Simba ndio mna Cocastic🤣
Lolote baya liwakute YangaWazee wa kupeleka Motoo..!🔥💛💚🤸♀️
Ameeen....Lolote baya liwakute Yanga
Weka kikosi basi wewe Kolo
Leo kutakuwa na Sportpesa derby baini ya Singida vs Yanga FC mnamo saa 10:00 jioni CCM Kirumba.
Ni mechi Kali ya kusaka pointi muhimu tena kwa Yanga na mwenyeji Singida.
Naunga mkono hoja kakaWanaingilia kazi zetu.
Huyu jamaa ni Kolo, ameanzisha uzi ili kulimit taarifa tu.
Ametukosea sana wanazi wa Jangwani.