Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikosi kizito hiki.
BurudaniHivi skudu aliletwa wa kazi Gani?
Ameshusha vyuma.Kikosi hiki wakiumia mje mlalamike
Nahisi atakuwepo siku hiyo kakaKikosi kizito hiki.
Inamaana Pacome atawakosa hadi Makolo
Huyu jamaa anahitaji kulipwa kuliko wote hapo, siku akiumia huyu litakua balaa kubwaHuyu BAcca yeye kila game yupo.
Jamaa mwamba sana huyu anakaba hadi kivuliHuyu BAcca yeye kila game yupo.
Kulimit vipi?? Si mmwagike wenyewe kwenye comments??..Wanaingilia kazi zetu.
Huyu jamaa ni Kolo, ameanzisha uzi ili kulimit taarifa tu.
Ametukosea sana wanazi wa Jangwani.
Kikosi kipo nusu saa imeisha haweki.
Danganya toto.Pacome na Yao inaonekana bado hawajakaa sawa, ulikua ujinga tu kwenda kuwauzisha sura bondeni
Yupo sport pesa hahahahMzee uko timu gani wewe?
Pyeeeeeeeeeeeeeeee..!🤸♀️💚💛Lolote baya liwakute Yanga
😂😂😂 Jana ndio aliweka uzi wa Mnyama pia 😂😂Yupo sport pesa hahahah
Tutawajoin mkipigwa na kudrooo dear Utochura....like we did for Masandawane...Dear makolo.....if you can't fight Yanga then join them to be a part of people with a lot of happiness
Hii ni suprise nyingine kutoka kwa kocha Miguel Gamondi!! Aucho na Mkude kuanza pamoja, halafu Mudathir kuanzia nje!!