FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

baba aura

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2023
Posts
254
Reaction score
393

Leo kutakuwa na Sportpesa derby baini ya Singida vs Yanga FC mnamo saa 10:00 jioni CCM Kirumba.

Ni mechi Kali ya kusaka pointi muhimu tena kwa Yanga na mwenyeji Singida.

Kikosi cha kwanza cha yanga kinachoanza
 
Mechi tano kwenye NBC PREMIER league za mwisho Singida fountain gate ameshinda game moja Tu dhidi ya Namungo Zingine zote Kala vichapo...

Head to head dhidi ya Yanga, singida haijawahi kushinda game yoyote ile...

Wamekutana mara tatu na zote singida kapigwa kama mbwa koko... Leo wataweza kujitetea mbele ya Yanga ambayo ipo kwenye kilele cha ubora? Tusubiri saa kumi CCM Kirumba Stadium...

Utabiri wangu

Singida fountain gate 0 Yanga 3
 

Leo kutakuwa na sportpesa derby baini ya singida vs yanga fc mnamo saa 10:00 jioni ccm kirumba
Ni mechi Kali ya Lusaka pointi muhimu tena kwa yanga na mwenyeji singida
Rekebisha kichwa cha habari
 
Siku nyingine tena ya Ubuntu Botho wa Kariakoo kupata taabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…