Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Kabisa KK, Yanga dude kuuuuuubwaaaaaa!!Hakuna Team Inayoweza Kuifunga Young Africans Kwa Hapa Africa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa KK, Yanga dude kuuuuuubwaaaaaa!!Hakuna Team Inayoweza Kuifunga Young Africans Kwa Hapa Africa
😂😂😂 koma acha kunisemea udugu wanguHajui pua ya koka😁😁😁
Labda Mahakama Itufunge.🔥🔥🔥Kabisa KK, Yanga dude kuuuuuubwaaaaaa!!
Mayele atabaki na sehem yake ila Guede kafanya kazi nzuri snaHuyu Guede anafanya tumsahau Mayele,ushangiaji wake wa kiume,hatingishi manyonyo, dribbling nzuri, target imo,header ndio usiseme.
🙌🙌🙌🤣😂😂😂 koma acha kunisemea udugu wangu
Unahatarisha sana usalama wa wachezajiUwanjani Unatope Na Kutereza Kupita Kiasi
Uwanjani Umejaa Tope Na Maji
Wachezaji wa Ihefu Mungu anawalinda.Unahatarisha sana usalama wa wachezaji
Mh!😂😂😂 Kwenye wazee naomba unitoe puliiiizzz
UNIKOMENenda Simba wana uhitaji mkubwa wa mashabiki
MWENYEWE NA WW UNIKOMEUNIKOME
AiseeAcha upotoshaji, hilo goli la Guede ukimtengea Mpira hapo Saido peke yake hata mara 10 hawezi kufunga.