joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Hata zile 5 mlizokula nyie ilikuwa fixed.Fixed games.Tanzania hamna ligi.Ndo maana kimataifa ni kugongwa tu
Bado hujasemaaaa πFixed games.Tanzania hamna ligi.Ndo maana kimataifa ni kugongwa tu
,ππππ we jamaaHapa Imebaki Mahakama Tu Ndio Inaweza Kuifunga Dar Young Africans
Kabisa yaani. π€£π€£Tukamsalimie Mwasibu wetu kwa kweliπππππ
Subirini timu lenu bovu ili mseme vizuri na nyinyi mmehongwa?Fixed games.Tanzania hamna ligi.Ndo maana kimataifa ni kugongwa tu
kagongwe na weweFixed games.Tanzania hamna ligi.Ndo maana kimataifa ni kugongwa tu
IhefuGooooal, maarufu chekeni anaisawazishia Singida Bull Shit: 1-1
Hah ila kwa huyu Guede,nimeghairi kuhama,
Umesema kweli Ila amphibians watakupinga.Fixed games.Tanzania hamna ligi.Ndo maana kimataifa ni kugongwa tu
Yaani inataka tunenepe mpaka tupasuke. π€£Kudadadekiiiiii hii yanga hii πππ