joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Hata zile 5 mlizokula nyie ilikuwa fixed.Fixed games.Tanzania hamna ligi.Ndo maana kimataifa ni kugongwa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata zile 5 mlizokula nyie ilikuwa fixed.Fixed games.Tanzania hamna ligi.Ndo maana kimataifa ni kugongwa tu
Bado hujasemaaaa 😁Fixed games.Tanzania hamna ligi.Ndo maana kimataifa ni kugongwa tu
,😂😂😂😂 we jamaaHapa Imebaki Mahakama Tu Ndio Inaweza Kuifunga Dar Young Africans
Kabisa yaani. 🤣🤣Tukamsalimie Mwasibu wetu kwa kweli😁😁😁😁😁
Subirini timu lenu bovu ili mseme vizuri na nyinyi mmehongwa?Fixed games.Tanzania hamna ligi.Ndo maana kimataifa ni kugongwa tu
kagongwe na weweFixed games.Tanzania hamna ligi.Ndo maana kimataifa ni kugongwa tu
IhefuGooooal, maarufu chekeni anaisawazishia Singida Bull Shit: 1-1
Hah ila kwa huyu Guede,nimeghairi kuhama,
Umesema kweli Ila amphibians watakupinga.Fixed games.Tanzania hamna ligi.Ndo maana kimataifa ni kugongwa tu
Yaani inataka tunenepe mpaka tupasuke. 🤣Kudadadekiiiiii hii yanga hii 💚💚💛