FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

Aliyepaswa kutoka ni Kibu pamoja na kuwa Chama naye alikuwa mbovu leo. Kibu anapoteza mpira lakini anatembea badala ya kukaba. Poor Robertinho kutojua hata kufanya sub
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…