FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

Umoto wa Simba
Simba hii hii isiyojua kupata clean sheet au kuna Simba nyingine? Timu inayokosa clean sheet maanake ni timu inayofungika, hivyo siku ikikutana na timu zenye mikakati mizuri watapigika. Timu nzuri inaanzia na ukuta imara.
 
Tutajie timu mzuri ambayo jaijafungwa kwenye premier league ya NBC?
 
Tutajie timu mzuri ambayo jaijafungwa kwenye premier league ya NBC?
Mechi zipo 30 zimechezwa mechi 5 bado 25 hivyo kaa kwa kutulia subiria mzunguko wa kwanza uishe. Nimemjibu aliyesema Simba wa moto, pengine sijui tafsiri ya umoto. Timu imecheza michezo saba, katika michezo saba ni mechi mbili tu ndio imeondoka na clean sheet maanake timu ina mapungufu.
 
Kidooogo umeona kitu hili suala lipo wazi mimi huwa najiuliza mbona jamaa wakija huwa hawakai wanatemwa? Shida ni uongozi kutokujua kazi ya hawa jamaa au ni nini mfano Kotei na Lwanga shida ilikuwa nini? Ukiangalia nikweli tunashida hilo eneo timu ikiwa inashambuliwa tunakosa mzima switch kabla ya nyumba kuungua inaumiza kiukweli.
Sidhani kuwa wanaondoka tu. Fraga aliumia, Lwanga aliumia nae. Wote wawili waliumia. Ila mpaka leo hakuna mbadala wao hajaletwa. Nadhani wapunguze mmoja wa kimataifa waongeze kiungo mkabaji
 
Back
Top Bottom