vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Simba hii hii isiyojua kupata clean sheet au kuna Simba nyingine? Timu inayokosa clean sheet maanake ni timu inayofungika, hivyo siku ikikutana na timu zenye mikakati mizuri watapigika. Timu nzuri inaanzia na ukuta imara.Umoto wa Simba