Timu Ina shinda, kocha wetu ni mzuri kwa mbinu, mapungufu take makubwa ni kung'ang'ania wachezaji Kama Saidoo pamoja na kufunga Mara nyingi akipata mpira anawaza yeye binafsi badala ya timu, Kibu Dennis naye hivyohivyo, Mzamiru anapoenda kukaa na mpira pia akipewa pasi lazima arudishe ilipotoka na maamuzi take ya mwisho sio sahihi.
Niko kubahatisha Mara moja sio kigezo cha kuwaweka benchi kina Phiri na Baleke. Ally Salim bado anahitaji kujifunza makosa take makubwa ni kushindwa kupangua mpira nje ya goli na makosa ya kujirudiarudia hasa kumkosea timing.
Ila yanga wasahau mpaka Disemba tutakuwa tunaongoza maana vigingi vyao vyote tunavikwepa