FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

Bado tukiwa hatuna mpira hatufanyi pressing kabisa. Tunashinda lakini bila mabadiliko tutaadhibiwa kimataifa. Technically ni muhimu kufanyia tathimini benchi la ufundi ili kuelewa changamoto waliyonayo. Tunafurahi lakini tuna hatari kubwa mbele.
 
Makosa ya kimaamuzi yameinyima Singida Big star goli la pili.
Marefa wetu wameendelea kuinufaisha Simba kwenye kufunga goli au kufungwa goli.
Tukumbuke katika mechi ya Simba na Prison Goli alilo funga John Boko lilikua offside iliyo amuliwa kuwa on side.
Kwasasa tunasubiri mechi zijazo za Simba ambazo zimeonekana kuendelea na magoli ya utata na mapungufu ya kibinadamu.
 
56CF730A-4E69-4853-A3E7-995B862DE07D.jpeg
 
Makosa ya kimaamuzi yameinyima Singida Big star goli la pili.
Marefa wetu wameendelea kuinufaisha Simba kwenye kufunga goli au kufungwa goli.
Tukumbuke katika mechi ya Simba na Prison Goli alilo funga John Boko lilikua offside iliyo amuliwa kuwa on side.
Kwasasa tunasubiri mechi zijazo za Simba ambazo zimeonekana kuendelea na magoli ya utata na mapungufu ya kibinadamu.
MWIKO wa mbarali umekunasia hebu uchomoe
 
Timu Ina shinda, kocha wetu ni mzuri kwa mbinu, mapungufu take makubwa ni kung'ang'ania wachezaji Kama Saidoo pamoja na kufunga Mara nyingi akipata mpira anawaza yeye binafsi badala ya timu, Kibu Dennis naye hivyohivyo, Mzamiru anapoenda kukaa na mpira pia akipewa pasi lazima arudishe ilipotoka na maamuzi take ya mwisho sio sahihi.
Niko kubahatisha Mara moja sio kigezo cha kuwaweka benchi kina Phiri na Baleke. Ally Salim bado anahitaji kujifunza makosa take makubwa ni kushindwa kupangua mpira nje ya goli na makosa ya kujirudiarudia hasa kumkosea timing.
Ila yanga wasahau mpaka Disemba tutakuwa tunaongoza maana vigingi vyao vyote tunavikwepa
 
Bado tukiwa hatuna mpira hatufanyi pressing kabisa. Tunashinda lakini bila mabadiliko tutaadhibiwa kimataifa. Technically ni muhimu kufanyia tathimini benchi la ufundi ili kuelewa changamoto waliyonayo. Tunafurahi lakini tuna hatari kubwa mbele.
hatari ipi?? walete hao utopolo wenzio tuwat0mbee€€€ kavu kabsa tena kibuuuu akianza
 
Back
Top Bottom