FT: Spain 0-0 Cape Verde | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium (Atlanta, GA) | 15 Juni, 2026

FT: Spain 0-0 Cape Verde | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium (Atlanta, GA) | 15 Juni, 2026

Spain huyo kipa wao angeweza hata kwenda haja kubwa kujisaidia na kurejea uwanjani kucheza maanake toka mechi ianze hajadaka hata shuti moja kutoka kwa wachezaji wa Cape Verde ambao muda wote wamepaki basi.
 
Kocha wa Spain anajiamini, hajafanya sub mpaka dk hii ,hawa Cape Verde wakipata goli dk hizi hii mechi inaweza kuwa droo au akapigwa Spain.
 
Wakamaria game ina GG hii msiseme sikuwaambia
Kona under 10
Lakini ova 8
Kadi ova 1.5

No sending off/penalty
No ball enter
Substist second half
No sub at first half
VAR yes
Never down Yes
Ova 2.5 goal but under 4.5
Goal in both halves Yes
First half ukweli mchungu ila ni under 2.5
First to happen fouls.
😀😀😀😀😀😀😀
 
Hakuna chochote! Wakijitahidi sana hispania ni sare! Vinginevyo watapasuka!
Sure sio nzuri kwa Spain na kwa jinsi hawa madogo wanavyo kaba wakiwaotea tu kwa dk hizi Spain anapigwa.

Kocha kazingua sub unaanza kufanya kuanzia dk ya 69.Si umeona Ujerumani kaanza na full mziki,tena hizi mechi za mwanzo ndio za kutafuta matokeo.
 
Hakuna chochote! Wakijitahidi sana hispania ni sare! Vinginevyo watapasuka!
Kocha kazingua sub unaanza kufanya kuanzia dk ya 69.Si umeona Ujerumani kaanza na full mziki,tena hizi mechi za mwanzo ndio za kutafuta matokeo.
 
Afrika ilitukanwa sana na Gennaro Gatuso kwa ile hali ya kuongezewa nafasi kwenye ushiriki wa WC, kisha akaiponda nchi kama Cape Verde kuingia na Italia kukosa nafasi, lakini kwa mchezo wa leo, namna Cape Verde walivyoonyesha uwezo wa kuisaka pointi moja mbele ya spain ni dhahiri imestahili kuwepo hapo
 

Attachments

  • Screenshot_20260615_210015_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260615_210015_SportyBet.jpg
    117.6 KB · Views: 16
  • Screenshot_20260615_210107_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260615_210107_SportyBet.jpg
    114.9 KB · Views: 19
Back
Top Bottom