FT: Spain 0-0 Cape Verde | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium (Atlanta, GA) | 15 Juni, 2026

FT: Spain 0-0 Cape Verde | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium (Atlanta, GA) | 15 Juni, 2026

Hadi muda huu Tunisia ndiye kibonde kutoka Afrika. Kinachofurahisha zaidi hao Tunisia eti walikuwa kundi moja na "Kichwa cha mwendawazimu" aliyefungwa nyumbani na ugenini na hao vibonde Tunisia.
 
Cape Verde walikuwa na defense kali sana huku golikipa akiwa ni ukuta.
 
Back
Top Bottom