Kanji alibana odds.Usiniombe mkeka wangu realy usije kunywa sumuu
Kukitahidi kote alitoa odds 2
Kanji alibana odds.Usiniombe mkeka wangu realy usije kunywa sumuu
Mi sibet ila kwa Ulaya Spain ndio namba moja kwenye Rank zao ni ngumu kumpa Cape Verde labda kama umejilipua kwenye mkeka wako sawa. Maana wakamalia huawaga wana mikeka mingi wa option mbalimbali na ule wenye probability kubwa ndio huwega mzigo mrefu na ninauhakika asilimia themanini ya mikeka yako ummempa Spain ashinde au apate goli.Usiniombe mkeka wangu realy usije kunywa sumuu
GEmu ya leo kwa kweli ilikuwa na odds ndogo kwa spain.Mi sibet ila kwa Ulaya Spain ndio namba moja kwenye Rank zao ni ngumu kumpa Cape Verde labda kama umejilipua kwenye mkeka wako sawa. Maana wakamalia huawaga wana mikeka mingi wa option mbalimbali na ule wenye probability kubwa ndio huwega mzigo mrefu na ninauhakika asilimia themanini ya mikeka yako ummempa Spain ashinde au apate goli.
Baada ya mechi nini maoni yako mkuuCape Verde anaenda kula goli 4+
Kabla ya mechi maoni yako yalikua ni yapi mkuu?Baada ya mechi nini maoni yako mkuu
Hii idadi ya wapi mkuu!? Jumla ya watu: 529,630 sio 53KNimeshangaa taifa lina watu elfu hamsini na tatu tu. (53,000)
Ndiyo hivyo, mnaweza kuwa wengi lakini vichwa vyenu vinawaza kubwia ugoro.Nimeshangaa taifa lina watu elfu hamsini na tatu tu. (53,000)
Nilikuwa na maoni lakini sikuwahi kuyatoa hapa. Nimechelewa.Kabla ya mechi maoni yako yalikua ni yapi mkuu?
Basi siku nyingine usichelewe kutoa maoni yako mapema ili twende sawa.Nilikuwa na maoni lakini sikuwahi kuyatoa hapa. Nimechelewa.
Hata hivyo nimekutana na maoni yako ya kabla mechi husika.
Hivyo ni vyema kama unao muendelezo bada mechi tupia .
Hawa watoto wa Spain hawana malengo...Mikeka mikeka imeliwa na mbuzi. Kmmk! 😂🤣
Watangazaji wanatulisha matango pori. Kweli wana raia 530,000. Ila ni idadi ndogo sana ila wako vizuri sanaHii idadi ya wapi mkuu!? Jumla ya watu: 529,630 sio 53K
By the way nimeshangaa kuona kuwa cape Verde ni nchi inayoshika nafasi huenda ya kwanza kwa kuwa na raia wengi walio nje ya nchi kuliko walio ndani ya nchi
Inakadriwa takribani watu 700K hadi 1.5M wako nje ya nchi kuliko 529K walio ndani ya nchi
Hicho si ni kijiji!Nimeshangaa taifa lina watu elfu hamsini na tatu tu. (53,000)
Huyo Gatuso chizi tu, Italia haikufuzu kwa uzembe wao.Afrika ilitukanwa sana na Gennaro Gatuso kwa ile hali ya kuongezewa nafasi kwenye ushiriki wa WC, kisha akaiponda nchi kama Cape Verde kuingia na Italia kukosa nafasi, lakini kwa mchezo wa leo, namna Cape Verde walivyoonyesha uwezo wa kuisaka pointi moja mbele ya spain ni dhahiri imestahili kuwepo hapo
Teh mwekezaji umekula hasara pesa ngapiCape Verde anaenda kula goli 4+