mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Hakuna chochote! Wakijitahidi sana hispania ni sare! Vinginevyo watapasuka!Cape Verde wamekuja kazini wanajua kushikilia bomba,ila kipindi cha pili kazi wanayo maana kuna Nico ,Olmo,Yamal nk.
😀😀😀😀😀😀😀Wakamaria game ina GG hii msiseme sikuwaambia
Kona under 10
Lakini ova 8
Kadi ova 1.5
No sending off/penalty
No ball enter
Substist second half
No sub at first half
VAR yes
Never down Yes
Ova 2.5 goal but under 4.5
Goal in both halves Yes
First half ukweli mchungu ila ni under 2.5
First to happen fouls.
Hakuna chochote! Wakijitahidi sana hispania ni sare! Vinginevyo watapasuka!Cape Verde wamekuja kazini wanajua kushikilia bomba,ila kipindi cha pili kazi wanayo maana kuna Nico ,Olmo,Yamal nk.
Sure sio nzuri kwa Spain na kwa jinsi hawa madogo wanavyo kaba wakiwaotea tu kwa dk hizi Spain anapigwa.Hakuna chochote! Wakijitahidi sana hispania ni sare! Vinginevyo watapasuka!
Hakuna chochote! Wakijitahidi sana hispania ni sare! Vinginevyo watapasuka!Cape Verde wamekuja kazini wanajua kushikilia bomba,ila kipindi cha pili kazi wanayo maana kuna Nico ,Olmo,Yamal nk.
Kocha kazingua sub unaanza kufanya kuanzia dk ya 69.Si umeona Ujerumani kaanza na full mziki,tena hizi mechi za mwanzo ndio za kutafuta matokeo.Hakuna chochote! Wakijitahidi sana hispania ni sare! Vinginevyo watapasuka!
Sisi warusi opt zak3 zimetutoa😀😀😀😀😀😀😀
Wewe wasemaCape Verde ana kibarua kizito leo
Anakusanya kwa wasiojua mpiraaaMuhindi anabana Kordaaaaani maana leo anazikusanya.
Mechi ya leo hata wanaojua mpira wamepigwa.Anakusanya kwa wasiojua mpiraaa
Wa moto siyo poa..Govinha ni moto sana
Usiniombe mkeka wangu realy usije kunywa sumuuMechi ya leo hata wanaojua mpira wamepigwa.