Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabora wamesimama vizuri kuzuia mashambulizi makali yanayopelekwa kwao
Kocha wa Tabora anapandisha mori for nothing...
Tabora United wametulia kidogo.
Wanaonekana hawana papara.
Ila dakika sio nyingi watalizwa hapa
Mudathiri anafanya faulu hapa
Kibabage anachezewa faulu: mpira unapigwa kuelekea Tabora United
Faulu kuelekezwa Tabora United.
Sio mbali sana na 18 box
Anapiga Aziz K.
Goli kipa anaitoa
Tabora United wanapoteza nafasi hapa.
Amepata kitete
Dick Job anacheza faulu hapa
Kwa ulinzi huu wa Tabora: Yanga ana kazi kidogo kuufungua huu ukuta.
Umetulia sana
Pole sana uko peke yako hapaUwanja wa Jamhuri umejaa kabisa mashabiki wa Yanga
Wananchi hawaangalii mpira Jamiiforums.Pole sana uko peke yako hapa
Wananchi kujitokeza ni mpaka wasikie goli
Hivi hivi utajikuta uzi mzima unaongea peke yako tu
hawa 3 zinawahusuKwa ulinzi huu wa Tabora: Yanga ana kazi kidogo kuufungua huu ukuta.
Umetulia sana
malizia tayri goli20'
Yanga wanapata faulu nje kidogo ya 18