FT: Tabora United 0 - 1 Young African SC | Jamhuri Stadium-Dodoma | NBC Premier League | 23.12.2023

FT: Tabora United 0 - 1 Young African SC | Jamhuri Stadium-Dodoma | NBC Premier League | 23.12.2023

Pole sana uko peke yako hapa

Wananchi kujitokeza ni mpaka wasikie goli

Hivi hivi utajikuta uzi mzima unaongea peke yako tu
Niko live mkuu.
Natoa updates
 
Jamhuri imelipuka kwa kivumbi na jasho.
 
Hawajamaa wa Tabora wanamiguvu sana.
Kama watu wa Afrika ya Magharibi
 
Back
Top Bottom