FT: Tabora United 0-4 Simba SC | NBC Premier League | A.H.Mwinyi Stadium | 06.02.2024

Gooooooooooooooo....
 
Mkuu naomba kuuliza, kwa hizi points walizotuzidi yanga na kwa mechi za ligi zilizobaki kuna uwezekano wa kuwapiku na kuchukua ubingwa, jana nilimind sana dodoma walivyowaachia zile points tatu saa hii tungekuwa tumepunguza gap yani
Tukimfunga Azam tu tunakuwa na michezo sawa halafu watatuzidi points 2, tutakuwa tunawafukuzia kimya kimya tu wakidraw tu tukashinda tutawazidi wao points mbili, ubingwa bado sana lazima kieleweke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayeforce iwe hivyo ni Uto.
wala sio Tabora.

Tumewabakisha Azam tu sasa.

Mechi ya Kisasi.
Kipa alikuwa pale pale,alitegemea jamaa kutoa pass upande mwingine,anataka kuhamia upande mwingine jamaa anapiga pale pale kipa anajaribu kurudi kuokoa mwili unakataa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili yako fupi ukiona mtu amevaa jezi ya Simba unaconclude kuwa huyo ni Simba?Pia akili yako inakwambia kuwa mchawi akiwa anaroga anataka watu watambue kuwa yeye ni mchawi hivyo atavaa mavazi yanayomtambulisha yeye ni nani?
 
Unga umemwagwa na nani?
Sio unga wala nini,ni powder ya kunyonya maji ya mvua ambayo ilinyesha jana tabora na kusababisha eneo la kipa kuwa linateleza,na kama ujuavyo eneo la kipa likiteleza wachezaji lazima watakuwa wanashindwa kuscore kwa kuanguka anguka...sasa ndugu zetu utopolo wao kila kitu wanawazaga uchawi tuu.
 
Acha ushamba,we umejuaje kama ni dawa??bogus
 

Weka link ya video badala ya kuweka maneno tu
 
Yani li bin kazumari limeaibika...ndo maana nashangaa yani mchana kweupe vile
 
Mpaka mtheme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…