FT: Tabora United 0-4 Simba SC | NBC Premier League | A.H.Mwinyi Stadium | 06.02.2024

FT: Tabora United 0-4 Simba SC | NBC Premier League | A.H.Mwinyi Stadium | 06.02.2024

Screenshot_20231220-115104_Chrome.jpg
 
Kulingana na namna simba wamecheza mechi mbili hz za ligi vipi mnaona kama wamejipata au bado tuwape muda
 
Niwakumbushe tu TABORA huwa wanafika golini ile sio mashujaa kwahiyo wanasimba mkae kwa kutulia kwa mtakachokutana nacho
Washabiki wa Yanga ni viumbe wa tofauti nimejifunza hii kitu.

Yani kweli nyie ndo wananchi halisi wa nchii hii nzuri yenye watu wa hovyo.
 
Hakuna ufundi pale uki consider distance uliopitia mpira na alipokuwepo kipa na kiasi cha shuti. Lingekuwa ni shuti kali angalau ila shuti la kawaida halafu limepita pale pale alipokuwepo kipa. Pata muda uangalie vizuri kabisa namna kipa alivyoongopa pale.
mmekuja?
 
Wale ambao walisema wanaangalia mechi na mademu zao wakati wakishangilia Tabora

Inawezekana matokeo yamefanya wabadili hoby wamehamia jikoni kufanya upishi
Nimecheka sana
 
Simba ninayoijua Mimi Bado Sana .
Ushindi WA ngekewa tu huu .
Kwa Mpira huu Azam anaenda kutukanda za kutosha
 
Back
Top Bottom