FT: Tabora United 0-4 Simba SC | NBC Premier League | A.H.Mwinyi Stadium | 06.02.2024

Wanatamani kusema tabora kibonde wakikmbuka walimfunga uwanjani kwao kwa mbinde kimoko....
 
Ule mpira umepigwa kiufundi na kwa mahesabu makali

Joseph na crew yake ile hawaiwezi
Hakuna ufundi pale uki consider distance uliopitia mpira na alipokuwepo kipa na kiasi cha shuti. Lingekuwa ni shuti kali angalau ila shuti la kawaida halafu limepita pale pale alipokuwepo kipa. Pata muda uangalie vizuri kabisa namna kipa alivyoongopa pale.
 
Kadake basi tuone kama utaweza
 
Back
Top Bottom