Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lolote baya liwakute makolo kwinyo.
Mnajisahaulisha walivyo watoa jasho hawa madogo pale DodomaBomu makaburini
Tupe matokeo yenu na TaboraBomu makaburini
Point 3.Bomu makaburini
Kuna mipira ya akili unaweza fungwa watazamaji wakahisi hujui kudaka.Huyu kipa script kaitendea haki ila mpira unampitia hapo hapo na anautazama tu halafu sio shuti kali bila hata aibu
Hiyo timu inamilikiwa na mwana Yanga Yusuph Kitumbo. Acha UtopoloSimba B ( Rage ) Vs Simba A ( Mo)
Baba na mwana kazi kweli kweli
Mungu ibariki SimbaSimba B ( Rage ) Vs Simba A ( Mo)
Baba na mwana kazi kweli kweli
Kwa hisani ya RagePoint 3.
Kauzwa au kaachia? Mpira unapita mbele yake na anautazama wakati uwezo wa kunyosha mkono au mguu upo au ili ku clear.Hili goli kipa kauzwa vizuri.
Mna haki ya kuongea yote, hata ukitaka nikuongezee manrno mengine ya kuongea nitakupatia.Kuna wanaume wanacheza. Kitulize kwanza na stori za Uto
Point 3Kwa hisani ya Rage