FT: Tabora United 0-4 Simba SC | NBC Premier League | A.H.Mwinyi Stadium | 06.02.2024

FT: Tabora United 0-4 Simba SC | NBC Premier League | A.H.Mwinyi Stadium | 06.02.2024

Wale vibweka wa jana wangejichanganya wakatoa sare, leo tulikuwa tunaongea mengine
 
Leo chama anaonekana shujaa machoni mwa makolo kesho kutwa akidhibitiwa ataoga matusi ya kila rangi
 
Haya magoli kuna timu ingeyafunga, malalamiko ya bahasha kuonga wapinzani yangekuwa mengi humu. Ila watu wanapiga free header na goli tatu mpira unapita hapo hapo kwa kipa na shuti la kawaida tu. Kweli leo ni Aden vs Rage
 

Attachments

  • IMG_20240206_172146.jpg
    IMG_20240206_172146.jpg
    109.1 KB · Views: 3
Azam tunampasua kirahisi sana mtego wa ratiba tuliomuwekea ameingia mazima
Mechi inachezwa CCM Kirumba, Mwanza
Dah! Ingekua tu palepale kwenye Pitch ya Azam FC.
Mechi itakua ngumu sana
 
Simba imeanza kurudi Kuna timu itaanza kulalamika mda sio mrefu
Kwa usahaulifu mpo vizuri, juzi tu mmetoka kutoka mapovu kwa kupelekewa moto na mashujaa ila leo mmesahau mnasema timu imerudi kwa kuangalia mechi moja ya leo.
 
Dah! Ingekua tu palepale kwenye Pitch ya Azam FC.
Mechi itakua ngumu sana
Sisi ndio wenyeji wa mchezo huo hiyo unayoitaka ya kwenye pitch ya azam itakuja mzunguko wa pili wao wakiwa wenyeji wa mchezo
 
Safi sana Simba mechi kama hizi timu pinzani wakijaa unatakiwa kuwapiga za kutosha
 
Back
Top Bottom