FT: Tabora United 0-4 Simba SC | NBC Premier League | A.H.Mwinyi Stadium | 06.02.2024

FT: Tabora United 0-4 Simba SC | NBC Premier League | A.H.Mwinyi Stadium | 06.02.2024

Kazi ya kufunga kwa Yanga ni ya kila mchezaji. Leo mchezaji aliyeombwa msamaha anadhihirisha kuwa alistahili kuombwa msamaha maana bila yeye timu ina struggle haswa.
Mamadou naona msimu huu amerudi akiwa na ndevu
 
20231112_124734.jpg
 
Mtani tatizo ni mechi ifuatayo ya NBC mtatoboa kweli? Naomba kukumbushwa kwanza itakuwa kiwanja gani?
 
Uto wamepoteana.
hawako kabisa hapa
 
MyWetu leo mmepata kitonga naona mnatamba tu humu!!
 
Kwa Jobe hapa tumepigwa hamna mchezaji hapa ni kuruka ruka tu na kubahatisha
 
Kazi ya kufunga kwa Yanga ni ya kila mchezaji. Leo mchezaji aliyeombwa msamaha anadhihirisha kuwa alistahili kuombwa msamaha maana bila yeye timu ina struggle haswa.
Sasa mmesajili wa nini mtu ambaye mbali na kufunga kitu ambacho hakiwezi hana msaada mwengne wowote uwanjani.

Chama ni mwamba haswa mkuu
 
Back
Top Bottom