Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Wangese tuu hao...Simba haiwezi kuruhusu hili...huyo kama ni shabiki atakua wa utopolo..hHahaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangese tuu hao...Simba haiwezi kuruhusu hili...huyo kama ni shabiki atakua wa utopolo..hHahaaaa
Tulia na msimamo wako jombaaMsimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?
Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)www.jamiiforums.com
Tusisahau kupita hapo mechi ikiisha tuweke sawa msimamo..
Ligi inaendelea mjombaMsimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?
Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)www.jamiiforums.com
Tusisahau kupita hapo mechi ikiisha tuweke sawa msimamo..
Tabora wamepania, matokeo yake wanakula 5.Ukiangalia huu Moira unavyochezwa unaweza ukalia,yani pesa imeharibu sana mpira wetu,tabora mmepewa sh ngap?
Njoo tena ureplayMunaoitakia simba ushindi leo, mukae kwa kutulia musije vunja sindano.
Gwede gwede huko alikotoka hana goli hata moja sijui wao Yanga walijuaje kama jamaa anaiweza hiiyo kazi ya kufungaGwede Gwede and his fellow amphibia raiti naoView attachment 2896101
Kwa gwede uto wameuziwa mbuzi kwenye sandarusiGwede gwede huko alikotoka hana goli hata moja sijui wao Yanga walijuaje kama jamaa anaiweza hiiyo kazi ya kufunga
Baleke na Phiri walianza zaidi ya hivyo ila sijajua ni kwanini wameachwa. Muda ndio kila kitu kwenye mpira wa miguuGwede Gwede and his fellow amphibia raiti naoView attachment 2896101
Kazi ya kufunga kwa Yanga ni ya kila mchezaji. Leo mchezaji aliyeombwa msamaha anadhihirisha kuwa alistahili kuombwa msamaha maana bila yeye timu ina struggle haswa.Gwede gwede huko alikotoka hana goli hata moja sijui wao Yanga walijuaje kama jamaa anaiweza hiiyo kazi ya kufunga
Ukiangalia huu Moira unavyochezwa unaweza ukalia,yani pesa imeharibu sana mpira wetu,tabora mmepewa sh ngap?
Wapo Mbugani Mods wanatalii 😂 😂 😂Nyie mods huo ubao huko juu vipi?
Amekuwa bora