Match Day.
Leo Simba anatupa karata yake kwenye mchezo wa 12 wakiwa na Points 26. Nafasi ya 3. Anayeongoza Ligi ana points 34.
Mpaka sasa Simba amepoteza Mchezo 1 Draw 2 na Ameshinda 8.
Wapinzani Wao Tabora wako nafasi ya 12 kwenye msimamo wakiwa na points 15.
Mchezo utafanyika Saa 10jioni.
Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora.
Tukutane hapa kwa updates...
Uran!!
KIKOSI CHA TABORA UNITED KINACHOANZA.
KIKOSI CHA SIMBA KINACHOANZA
All the Best Mnyama.
#nguvumoja#...
=====
Mchezo umeanza
5' Kasi ya mchezo bado sio kubwa
9' Mchezo unachezwa katikati kwa muda mwingi