FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Labda tuchambue chuya sioni chochote kama mzee tupatupa tu akisubiri pombe
 
Hii mechi tutapigwa wazee wa kwa babu tumeiona hio tayari kama una presha lala mapema
 
Tutawafunga. Hawa naona tunawamudu. Hawana ushirikiano.
Tukirudi na jihadi tu wanakaa.
Mashuti kwenye Goli la Congo hawapigi Ila Congo wakifika kwenye Goli la Stars wanapiga Mashuti ya kusaka Goli kwa hio kinachokosekana ni hicho TU wakifika wanalenga Goli wakandamize Mashuti wanawafunga mboni
 
Oh, basi jilegeze
Nikubebe mgongoni (iyelewi)
Kitandani nikoleze
Kwa miuno ya kingoni (iyelewi)
Kisha nibembeleze
Nirudishe utotoni (iyelewi) [emoji23][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuuuh ndo umewaza hicho tyuuh.
Na tunapenda kutiana hatari, bora tukose kula ila sio kuzagamuana.
 
Nipo na Tanzania, tunashinda hii game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…