FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Kwasababu raisi ameweka kitu mezani
Ni sawa pia, hakuna cha uzalendo nchi hii viongozi wa kiserikali wanakwiba asubuhi mchana na jioni, wao wakavunjike miguu eti wanapambania taifa, mzigo uwekwe mezani tutie miguu sehemu ya kuweka chuma.
 
Kibu anahitajika game ipo upande wetu hii
Pale mbele hakuna mtu wa kukandamiza mashuti yasiyoenda nje na yanayolenga Goli Samatta mashuti anapiga nje halengi Goli, yakipigwa mashuti hata matatu moja lazima liwe Goli kavu au penati
 
Ni sawa pia, hakuna cha uzalendo nchi hii viongozi wa kiserikali wanakwiba asubuhi mchana na jioni, wao wakavunjike miguu eti wanapambania taifa, mzigo uwekwe mezani tutie miguu sehemu ya kuweka chuma.
Kwa hiyo tukubali mechi tulizopoteza huwenda ilisababishwa na kukosekana kwa ahadi ya kitita kama hamasa?
 
Back
Top Bottom