FT: Tanzania 0-1 Bulgaria | Friendlies| 22 March 2024 16:00 Hours | Dalga Arena (Baku, Azerbaijan)

FT: Tanzania 0-1 Bulgaria | Friendlies| 22 March 2024 16:00 Hours | Dalga Arena (Baku, Azerbaijan)

Ile winga ya kushoto ya Tanzania kijana Karim Ararabia atafaa kwenye eneo lile. Bado mdogo na mtamu mguuni.
 

Vijana wetu wa Taifa Stars leo wanakutana na Bulgaria katika mechi ya kirafiki, uko Baku, Azerbaijan katika kiwanja cha Dalga Arena mida ya saa 10 jioni, masaa ya Africa Mashariki.

Ni matumaini yangu Azam watatubariki na hii mechi tuone kama vijana wetu wame improve tokea wacheze AFCON.

Karibuni tupeane updates.
Eeeeh!.
Hii Taifa stars mbona naona shombe wengii!?
WAmetoka wapi hawa!?
 
Back
Top Bottom