Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakubali nusu shaliAishi Manula kashindwa.
Hataki aibu
Eeeeh!.
Vijana wetu wa Taifa Stars leo wanakutana na Bulgaria katika mechi ya kirafiki, uko Baku, Azerbaijan katika kiwanja cha Dalga Arena mida ya saa 10 jioni, masaa ya Africa Mashariki.
Ni matumaini yangu Azam watatubariki na hii mechi tuone kama vijana wetu wame improve tokea wacheze AFCON.
Karibuni tupeane updates.