FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

Inaweza ikawa ni shoti katika Transfomer automatically ikaji switch off...wakija kurekebisha ndo wanawasha au kama tatizo ni la muda inaweza kujiwasha

Ni sahihi...

Lakini kibongo bongo umeme huwa unakatwa mara nyingi zaidi...
 
Meneja wa Uwanja kazi anayo sahiv anajamba jamba huko.

Bado uwanja wa ndege kesho Makam wa Rais wa Mashoga USA akija.
 
Nchi ya mazombi, alafu Unamsikia mtu anaahidi mil 500, tuna safar ndefu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…