Kibu angekuwa msaada mkubwa katika game kama ya leo. Amekuwa na utulivu sana miezi ya hivi karibuni. Hao kina Sopu wanacheza leo utadhani wameahidiwa udiwani, wanakimbia kimbia tu na mipira.Huyo Kibu hata kutuliza mpira hawezi
Hivi Kibu ni mtanzania?Halafu kuna watu wanabeza uwepo wa mtu kama Kibu. Kibu siyo mchoyo, akipata mpira anatafuta mtu anampa nafasi nzuri, hawa kina Samatta na Msuva wanataka wakimbie na mpira wafunge wenyewe. Wamemuambukiza hata Sopu mambo hayo.
Itaje kwa uchache
Mpira TZ bado sana ubunifu ni zero tunamng'ang'ania Samata ambae amekwisha hana cha ziada hapo tulipofika ndio mwisho wetu timu inacheza utafikiri wagonjwa wa ukimwiKwanini Juma Mgunda hajaitwa katika benchi la ufundi??
Hii Timu bora wangempa Juma Mgunda angeifikisha mbali sio huyo muarabu koko ambae anatuwekea wachezaji wa JKU
Tunajua sana tu....ila hatujawa makini.Ifanye utafiti. Kuendelea kung'ang'ania mpira ni ujinga. Imeshakuwa proved time and again mpira hatujui.
😂😂😂😂
Ahsante wa blue mwenzangu, ila nyumbani ni nyumbani tu no mara waaa..!!
Nitawaeleza nini miye wa-TZ kwa aibu niliyoipata ya kipigo 1-0 toka Uganda.Kibu angekuwa msaada mkubwa katika game kama ya leo. Amekuwa na utulivu sana miezi ya hivi karibuni. Hao kina Sopu wanacheza leo utadhani wameahidiwa udiwani, wanakimbia kimbia tu na mipira.
Una hoja, usikilizwe. Ukiangalia timu zinazojua mpira halafu ukatuangalia sisi ni mbingu na ardhi aisee.Ifanye utafiti. Kuendelea kung'ang'ania mpira ni ujinga. Imeshakuwa proved time and again mpira hatujui.
So nature imetake place leo🤣🤣🤣Watu hawana madawa hospital mnapeleka hela kuzichezea kwenye mpira.
Nadhani wahusika wameshajifunza.
Tunajua sana tu....ila hatujawa makini.
🤣🤣🤣🤣Huyo Kibu hata kutuliza mpira hawezi
Tutafika tu, misingi yetu ya huu mchezo ndio tatizo ila tunaujua sana tu.Mnajua kwa mafanikio gani? Hata at the club level mna mafanikio gani? Mpira hatujui ila tunaupenda that's the harsh reality.
Una hoja, usikilizwe. Ukiangalia timu zinazojua mpira halafu ukatuangalia sisi ni mbingu na ardhi aisee.
Poleni zetu! Ila majigambo yalikuwa yamezidi. Ni kama tulisahau kwamba mpira unachezwa uwanjani
Kwenye sanaa na michezo kote tunakwenda kwa kubahatisha tuKabisa mkuu. Sisi mpira tunaupenda ila hatuujui huo ndo ukweli. Kuendelea kuweka nguvu kwenye jambo ambalo hatujui ni kupoteza muda na rasilimali.
Humu duniani vya kutukosesha amani ni vingi sana ukiacha Taifa Starz,Pole sana Mama la Mama, nina zaidi ya miaka mitano imepita sijawahi kuifuatilia kabisa Taifa Stars maana sipendagi kabisa vitu vinavyonikosesha amani ya rohoni [emoji16]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
HakikaSamata nae jipu litumbuliwe