Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Samata anataka kutuonesha kitu ambacho hana, wanamng'ang'ania kwa sababu ya status yake. Kuna mechi Cr7 na ukubwa wake alianzia benchi portugal. TujifunzeMpira TZ bado sana ubunifu ni zero tunamng'ang'ania Samata ambae amekwisha hana cha ziada hapo tulipofika ndio mwisho wetu timu inacheza utafikiri wagonjwa wa ukimwi
Mama anachezea sana hela zetu kwenye soka la kibongo
Dadeki
Inawezekana nia yako ilikuwa njema, ila next time usirudie hichi ulichoandika hapa tafadhali, huu ni unyanyapaa...!!Mpira TZ bado sana ubunifu ni zero tunamng'ang'ania Samata ambae amekwisha hana cha ziada hapo tulipofika ndio mwisho wetu timu inacheza utafikiri wagonjwa wa ukimwi
Wakala wa KibuHalafu kuna watu wanabeza uwepo wa mtu kama Kibu. Kibu siyo mchoyo, akipata mpira anatafuta mtu anampa nafasi nzuri, hawa kina Samatta na Msuva wanataka wakimbie na mpira wafunge wenyewe. Wamemuambukiza hata Sopu mambo hayo.
Zimbwe aliomba sub kutokana na maumivu ya misuli, Aliyechukua nafasi yake kashindwa kuitumia vema, kocha kawatoa viungo wa kazi kawaacha wapaka mpira rangi!! Pia ina maana nchi yetu ndio haina kabisa kiungo wa kutoa pasi za mwisho za mabao!!??Unamtoa Shabalala anaingia Luhende? Unawatoa Mzamiru na Mao aisee
Tz Haina kiungo wa kutoa pasi za mwisho mzee,Kama yupo mtajeZimbwe aliomba sub kutokana na maumivu ya misuli, Aliyechukua nafasi yake kashindwa kuitumia vema, kocha kawatoa viungo wa kazi kawaacha wapaka mpira rangi!! Pia ina maana nchi yetu ndio haina kabisa kiungo wa kutoa pasi za mwisho za mabao!!??
Imagine kapombe angekuwa kwenye nafasi yake,ule upenyo ungepatikana!?I unatazama mpira wa wapi..goli limepitia kati kati
Una Samatta na Msuva. ..nani wakuwatengenezea mipira?....shida kiungo hakuna wakuwachezesha,it's either alitakiwa kuchezesha viungo wanaochezesha timu. ..jana tulikua tunajikaba wenyewe
Hana akili huyo master, tumuache tu.Imagine kapombe angekuwa kwenye nafasi yake,ule upenyo ungepatikana!?