FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

Mechi ihamishiwe chamanzi, hamna kupoa chap chap watu wawahi chamanzi Azam Complex game iendelee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waziri Mkuu katoa simu sasa sijui anamuomba msamaha Samia?
Tumejawa na upumbavu, badala ya kujali miundo mbinu tunathamini kutamka Rais kanunua magoli milioni kadhaa na sifa mama Samia mama Samia! Mpaka mnaleta picha zake uwanjani.
Nchi hii tuache ufala wa kuingiza siasa kila mahali, ni upuuzi
 
Taa bwana, ilimradi tu tuseme kila kitu cha mama kinakufa...

Tuache kununua magoli, tununue TAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…