FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

Kuna uzi nilisema juzi moja ya matatizo ya uwanja ule ni mwanga hafifu. Ingekuwa game zetu hii mechi ingeendelea bila mtu kunotice kitu ila ukweli uwanja hauna mwanga mzuri.
Taa za zamani mno toka 2005 hadi leo ni miaka 18 teknolojia imebadilika haswa, sisi tunaendelea kumbatia vya zamani

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom