FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

Hawa si mliwasifia sana kwenye mechi iliyopita baada ya ushindi? Au ndio fata upepo?
Hapana mkuu, form is temporary but class is permanent.

Mechi iliyopita walikuwa fomu ila class yao inapokuja suala la kwenda mbele ni very poor
 
Uniform za benchi la ufundi zimekaa kama za Yanga bana. Ni kama khanga imevaliwa juu ya blauzi. Mambo ya Sheria Ngowi haya nini 🤣😂🤣
Yanga ni kama maji. Huwezi kukwepa kuyanywa. Hata bendera ya Taifa yenyewe imejaa rangi za Yanga. Au umeona kuna rangi nyekundu na nyeupe?
 
Uganda piga hao Tanzania, walau million 500 zipone zikafanye maendeleo. Zikanunue madawati n.k
 

Attachments

  • FB_IMG_1679422066078.jpg
    FB_IMG_1679422066078.jpg
    65.1 KB · Views: 1
Yanga wamefanya kitu cha kizalendo kugawa mavazi kwa bench la ufundi
 
Hawa ndio mastaa wa ligi yetu.
Mastar wa ligi yetu hakuna mbongo hata mmoja, hicho kizazi cha mpira mnakitengeneza vipi?

Rudi Simba na Yanga kisha nitafutie mchezaji yoyote wa kibongo katika nafasi za viungo na ushambuliaji ambae anaonekana kuwa promising, ujione kichekesho.


Halafu kuna mtu anasema sio tatizo hilo.
 
Back
Top Bottom