Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Huyo Sakho ana namba kwenye timu ya Senegal?Kuna mechi ya Senegal inaendelea, kina Sakho wanapiga mpira mwingi. Mtanihadhithia hayo mambo ya Taifa Stars.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Sakho ana namba kwenye timu ya Senegal?Kuna mechi ya Senegal inaendelea, kina Sakho wanapiga mpira mwingi. Mtanihadhithia hayo mambo ya Taifa Stars.
Washangilie nini?Hawa Walioingia Bure, Mbona Hawashangalii?
Vichwa havijatulia kabisaNdiyo maana nilisema hii game ingepigwa kule kule Ismailia. Wachezaji wanacheza kwa pressure.
Jadili ya Timu ya Taifa...habari za Sakho tunazizungumza sisi wana Simba humu kwa dharuraHuyo Sakho ana namba kwenye timu ya Senegal?
Wamempumzisha badoHuyo Sakho ana namba kwenye timu ya Senegal?
U can't be serious!! Okwi ana miaka 30?Nahodha wa Uganda, Emanuel Okwi mwenye miaka 30 anasema wana uhakika wataibuka na alama 3 na kufufua matumaini ya The Cranes kufuzu.View attachment 2568893
TukishambuliaWashangilie nini?
Sio mimi niliyesema mkuu hiyo ni kwa mujibu wa vyombo vya habariU can't be serious!! Okwi ana miaka 30?
Hawa si mliwasifia sana kwenye mechi iliyopita baada ya ushindi? Au ndio fata upepo?Double pivot ya Himid na Mzamiru haina ubunifu wote ni wabeba maji
Huyo Sakho ana namba kwenye timu ya Senegal?
Future tutaipata vipi ilhali vilabu vyetu vikubwa 80% ya first eleven ni wachezaji wa nje?Hii timu Rais atunze hizo hela hakuna future kabisa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mi niitwe timu ya taifa afu nisicheze, sikubali tena