Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Naona utulivu ni sifuri kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sako na yy yupo kwa kikosi?Kuna mechi ya Senegal inaendelea, kina Sakho wanapiga mpira mwingi. Mtanihadhithia hayo mambo ya Taifa Stars.
Embu ngoja nicheki kama kaingia. Nilishauriwa niwe mzalendo 🤣😂🤣Sako na yy yupo kwa kikosi?
Umesahau Bashite alitumwa na Jiwe aende Misri ili Stars ishinde?Sorry, Naomba Kuuliza, Hivi Kumbe Stars 2019 tuliwahi Kufuzu Afcon?
Watu wanasubiri magoli wajeHuu uzi mbona umedoda hivi? Ingekuwa Simba au Yanga wanacheza sasa hivi tungekuwa na kurasa zaidi ya 20!
Yupo subSako na yy yupo kwa kikosi?
Kuna la kujiulizaHuu uzi mbona umedoda hivi? Ingekuwa Simba au Yanga wanacheza sasa hivi tungekuwa na kurasa zaidi ya 20!
Naona bado yuko benchi. Mechi ngumu hii na kuna mwamba anacheza namba yake yuko vizuri sana, ana miguu kama ina sumaku.Sako na yy yupo kwa kikosi?