HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Ndio shida ya kujinasibu kucheza usiku wakati hakuna kitu kama hicho
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanesco hawahusiki, mitaa mibovu hiyoTaa Za uwanja baadhi zimepungua mwanga
Tanesco vp
Taa zimezingua we huoni vivuli vya wachezajiUwa mbichi sana
Taa za zamani mno toka 2005 hadi leo ni miaka 18 teknolojia imebadilika haswa, sisi tunaendelea kumbatia vya zamaniKuna uzi nilisema juzi moja ya matatizo ya uwanja ule ni mwanga hafifu. Ingekuwa game zetu hii mechi ingeendelea bila mtu kunotice kitu ila ukweli uwanja hauna mwanga mzuri.
Wamekwenda kufturuWachezaji wameenda kukojoa [emoji28]
Mechi itachezwa mchana kesho au asubuhi keshoMechi ihamishiwe chamanzi, hamna kupoa chap chap watu wawahi chamanzi Azam Complex game iendelee
Kuna siku tena majukwaa ya nguzo ya mwamposa hayakutolewa hadi kupelekea azam tv kurusha matangazo mabovu
ASANTE unakunywa nini?Huyo Samata kabaki jina tu.