MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni taa sio umeme wewe jamaaNdio umeme tunataka kuuza South Africa?[emoji1787][emoji1787]
Kila siku tunapiga kelele kuhusu huu uwanja, hakuna anayetusikiliza.Fedheha hadi kwa majaliwa
Tanesco hawana shida kwani hakuna standby generator?Taa Za uwanja baadhi zimepungua mwanga
Tanesco vp
Soma vizuri isije kua umeuziwa amarula ya kichina😃Amalura.
Kuna Mchezaji tumbo limechafukaMbona mechi imesimama muda mrefu
Wakitoka hapo wanasifiana kama wehu, wanasifiana utafikiri nchi haina matatizo. Kuwa Mwafrika ni laana tosha.Hii nchi bhana! Watu hawawajibiki kabisa.
Kuwa mtz kunahitaji moyo kweli kweliWakitoka hapo wanasifiana kama wehu, wanasifiana utafikiri nchi haina matatizo. Kuwa Mwafrika ni laana tosha.
Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Ukishaona kivuli cha wachezaji kinaonekana uwanjani ujue ni tatizo.Taa zipi hizo mnazungumzia