FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

Naona TAA za mashabiki kule ndio zinashida ila mbon ckear visibility IPO
 
Hakuna anaejua tatizo ni nn,je ni taa au ni umeme hauna nguvu au ni matatizo ya kiufundi kurokana na uchakavu .
Hapa home huwa inatokea taa zinakosa nguvu huwa ni kwa7bu ya umeme kuwa mdogo ,niliwah kuuliza nikaambiwa jion huwa matumizi yanakuwa mengi maana watu wanakuwa majimbani.
 
Hizo Million 500 si mngerekebisha Taa uwanjani.Hii nchi ni majanga, aibuuu. Mmekalia kupinga ushoga tuuu,vitu vya msingi mmesahau.
Ushoga upingwe popote haijalishi niwap tetea marinda bint
 
Back
Top Bottom