Nilitaka kuandika the same thingKibu mpaka sasa ndiyo man of the match. Msimchukulie poa
Kabisa timu inacheza haina objectiveHuwa tunaanza kwa kufurahia kosakosa kama hizi kisha baadae tunawekwa kimoja, game inaisha.
Mechi imebalance mpaka sasaMechi yetu tushindwe wenyewe tu..
Spartak Subotica ipo SerbiaHuyu morice anachezea klabu gani
lineup ya Tanzania ikoje?