FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

Huyu Kibu anapaparika tu hakuna la maana analofanya, anaonyesha machachari sio hatari.
 
Kakolanya kadakaje ule mpira???
 
Wachezaji wazito, control ball ni zero, hawana maamuzi ya haraka , wavivu kukaba , hawajitumi wapo wapo tu ilimradi mechi iishe waendelee na mambo yao

Kwa kifupi morali ipo chini mnooooo!! Sa sijui mama hajawaahidi mzigo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…