FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Mwinyi afute kauli, hii si kawaida.
Dk 7 zimeongezwa.
 
Nilikuwa najisemea tutapigwa cha majeruhi lirudishwe hili.

He, kuangalia kweli.
 
Kwa match ilivyokuwa ilikuwa ni ya kushinda kabisa. No excuse... Mbele kule watu wana papara hawawasiliani.

Hussein pasi rahisi kwa kibu akawasijui anapiga wapi.

Na wakishangaa tunaongezwa.
 
Ndio tatizo letu timu nyingi za kibongo wakishaona wanaongoza wanarelax sana, yani ni bora tusingekua na goli wangecheza lakini sasa, wakaanza kupiga back pass nyiiingi mpira wa hovyo imewalipa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…