Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Umenipigia lini Mkuu?Afu we mbona keki hupokei simu
Sijaona call yoyote,,ama kwa sababu ya mtandao.
Sehemu nilipo Airtel ya chenga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenipigia lini Mkuu?Afu we mbona keki hupokei simu
Na hili ndio tatizo kubwa la Jana, tulikuwa hatupress Zambia kwa juu Ili wapige mbele tuchukue mpirakama uliangalia mpira vizuri utagundua tulikua hatukabi juu
Zambia wako pungufu Tanzania press wanaitrigger juu karibu na katikati ya uwanja au akienda moja basi anaenda mwenyewe kabisa wakati si sahihi kwa tempo ya mchezo kama ule
Zambia buildup ya nyuma walikua free kabisa walitakiwa wapande juu ili kuwazuia watu kucheza kutokea nyuma
Coaches ndio wana amua timu icheze kwa flow gani sasa kwanini hawakuliona hiloSidhani kama ni maelezo ya kocha
Tangu namjua Mgunda kama kocha sijawahi kuona formation wa back passes kama ule
Jina lipi?Yaan hilo jina kwa kwel limenifikirisha sana
Mechi ijayo tukupange namba ngapi ili urekebishe hayo mapungufu.kama uliangalia mpira vizuri utagundua tulikua hatukabi juu
Zambia wako pungufu Tanzania press wanaitrigger juu karibu na katikati ya uwanja au akienda moja basi anaenda mwenyewe kabisa wakati si sahihi kwa tempo ya mchezo kama ule
Zambia buildup ya nyuma walikua free kabisa walitakiwa wapande juu ili kuwazuia watu kucheza kutokea nyuma
Nadhan anamaanisha ni ikiwa pungufu ikicheza dhidi ya taifa staaz. Maana siku tumecheza pungufu dhidi ya Morocco hatukuwa wagumu tukawa kama boflo kwa chaiHii nchi vituko haviishiView attachment 2879452
Acha unazi wa uyanga na usimba kwenye timu ya taifa.Hivi why hata mnampanga Samata ?
Yaani wachezaji wote wa SSC hata wa zamani ni tatizo
Ndio maana hakuweza ligi ya uingereza
Mkuu we unawaza kama mimi... Wachezaji wenyewe exposure yao kubwa ni kucheza simba na Yanga, km wangekua na uwezo why hawaendi kucheza ulaya km wachezaji wa nchi zingine...tatizo wachezaji wetu akili zao zimeishia kucheza simba na Yanga. Hawana exposure kabisa... Hata wachezaji tuliowaokata ulaya ambao ni angalau ndo kwanza wanacheza madaraja ya chini sana... Zaidi ya Mbwana samatta na yule Mirosho mla umeme hakuna mchezaji mwingine anayecheza ligi kuu ulaya....Hivi sisi watz investment ktk football tunategemea kupata matokeo mazuri hicho kitu hakipo tusilaunu wachezaji makocha uwekezaji wa long and medium terms huko chini sana angalia kocha kama wa Zambia aliwahi kuwa kocha wa Chelsea hawa akina Mgunda tunawaonea tu
Hili ni jambo ambalo nilikuwa nawaambia sana watu niliokuwa naangalia nao mpira. Tatizo timu yetu haina fitness, haina confidence when in possession! Ila utagundua hii yote ni athari ya ligi yetu!Msuva Ana 35+ lakini bado Ana fitness nzuri sana !
Wachezaji wote wangekuwa na fitness ya bacca na msuva tungeshinda 3-0 !
Washinde wapi?Jana ilitakiwa Zambia washinde
kwani morocco sio africa, moroco wataongoza kundi, napenda mpira mzuri, bakini na papatupapatu zenu za zam, cod na tzNitafurahi sana kama kwenye hili kundi atapita Congo na Zambia.
Bora kuwa mzalendo wa Africa, Black for Africa, Africa for Black.
Mgunda kakufanyia nini?kocha aliyekabidhiwa timu ni Hemed Morocco,wewe umekomaa na Mgunda!Huo ndiyo mpira wa Mgunda sasa wa boli litembee, back passes kama zote. Ukiwaambia hao hao wachezaji wafanye hangaisha bwege, wanashindwa kupiga hata pasi 3 bila kupoteza mpira, watawezaje sasa kuforce shambulizi.
Upo sahihi 100%Hili ni jambo ambalo nilikuwa nawaambia sana watu niliokuwa naangalia nao mpira. Tatizo timu yetu haina fitness, haina confidence when in possession! Ila utagundua hii yote ni athari ya ligi yetu!
Kabla ya kusubiri mpaka tuwe na wachezaji wengi wa kulipwa, kwanza tuanze na kuboresha ligi yetu in terms of demand ya fitness na comfortability ya wachezaji when they are on the ball. Tukiweza kutengeneza identity ya mpira wetu then tutakuwa tayari kwenda kushindana nje.
Ili mpira uwe umeshinda, sitamani tuvuke group stage kwasababu hatustahili! Ila natamani kuona tunatoka tukiwa na zaidi ya point moja tuliyonayo sasa! All in all hata tukibakia na point hii moja basi binafsi sina deni na wachezaji wetu kwakuwa tunachokiomba sasa ni zaidi uwezo wetu, ni kama kumtaka mtu akumbuke kitu ambacho hajawahi kukijua!
Makocha wazawa kwenye clubs wanaletewa kocha wa nje wanae lingana nae vyeti wanakubali kuwa wasaidizi alafu mtu anasema wapewe timu ya taifaMkuu we unawaza kama mimi... Wachezaji wenyewe exposure yao kubwa ni kucheza simba na Yanga, km wangekua na uwezo why hawaendi kucheza ulaya km wachezaji wa nchi zingine...tatizo wachezaji wetu akili zao zimeishia kucheza simba na Yanga. Hawana exposure kabisa... Hata wachezaji tuliowaokata ulaya ambao ni angalau ndo kwanza wanacheza madaraja ya chini sana... Zaidi ya Mbwana samatta na yule Mirosho mla umeme hakuna mchezaji mwingine anayecheza ligi kuu ulaya....
Watu wanadai tuwape makocha wazawa timu ya taifa... Sasa hawa akina Mgunda na Morocco Wana potential gani hadi tuwape timu... Watu hawana exposure kabisa zaidi ya kufundisha vitimu km coastal union, mtibwa sugar... Hawana hata ka exposure ka kufundisha hata hapo Burundi....
Nipange hapo nyuma😁Mechi ijayo tukupange namba ngapi ili urekebishe hayo mapungufu.
Sawa mkubwaAcha uongo hizo cross zilikuwa zinapigwa na nani? Au unawaongelea Zambia