FT: Tanzania Prisons SC 1-3 Simba SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | October 5, 2023

Naangalia hapa mpira wa Chama langu Simba na prison, ninayo yaona nafsi imekataa kabisa kuamini kwamba hii ni ligi ya tano kwa ubora kama tunavyoaminishwa, sasa napiga picha hiyo ligi ya mwisho kwa ubora sijui wanachezaje.
Ni ligi ya sita mkuu na sio ya Tano kama tulivyokua tukiambiwa

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Simba nzuri zote karibu misimu 5 azijapata zaidi ya goli 2 pale sokoine Simba mbovu inayoshambuliwa na waandishi uchwara na pimbi zao utopolo Bin chura gongo wazi imepata goli 3 na soka safi la kuvutia sasa soka lile mnataka Wana lunyasi wacheze mpira gani huo mzuri pumzika sasa robertinho tuna wasubiri wachambuzi uchwara
 
Kisa Simba kashinda Leo?
Pathetic
Hizi timu tunashabikia tu ilatukiswma tuangalie mapingufu bila kujali timu, makandokando yapo ya kutosha.
Ifike muda tuamue kubadilika
 
Tff watupitishe hapo mbarali tumalizane kabisa na ukanda wa mpunga mpunga
 
Reactions: BRN
Wanataka afukuzwe kwakuwa yeye ndie anaewaingizia wachazaji mfumo ambayo si rafiki kwao. Maana yake ni kwamba falsafa zake zinapishana na aina ya wachezaji alionao, na kwakuwa hawezi kubadilika basi angalau atupishe.
Yupo sanaaa
 
Million 25 za yanga zinashindwa kuzaa matunda.😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…